Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wachaga tuachwe 😩😩😩😩😩😩😩 , ahahah et michuz ming had dagaa wanafufuka.
 
Wachaga tuachwe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] , ahahah et michuz ming had dagaa wanafufuka.
Hahahaha[emoji23]
Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka...[emoji23]
 
Ukisikiliza hizo motivations ukaingia kichwa kichwa basi unaliwa kichwa, kuna jamaa alimkimbia dereva na lori la matikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…