Anolway
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 158
- 591
Wacha we!!Siyo lazima ni kujiendekeza tu!
Nitaacha ila sio sasa.Acha uvivuu
Huyu ngosha wamembun tena au naona vibaya!!Hiyo ya kizungu sana bana
Hizi nguo ifike pahala ziwe zinakuja na shape, sio fair kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1976521
Huyu ngosha wamembun tena au naona vibaya!!
Mnyaki kaona mtandaoni naye akaagiza [emoji16][emoji16][emoji16]Hizi nguo ifike pahala ziwe zinakuja na shape, sio fair kabisa.
Ananiombea ban huyo likely. Ashindweee !!!
Sio msukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnyaki kaona mtandaoni naye akaagiza [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani jamani, si unaona hapo uko banned [emoji2369][emoji2369][emoji2369]Ananiombea ban huyo likely. Ashindweee !!!
Shindwaaa; sio shepu ya kinyaki hiyoMnyaki kaona mtandaoni naye akaagiza [emoji16][emoji16][emoji16]
Ananiombea ban huyo likely. Ashindweee !!!
Naitunza hii kama kumbukumbu. Sitandikwi ban tena! [emoji16][emoji16][emoji16]Jamani jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]View attachment 1976662
Mods walishanionya mara mbili nikashupaza shingo...Ila ban nzuri inapumzisha. Nakuombea nawe siku moja ulimwe ya mwezi mzima [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hamna bana, anakuonea tu huruma na ukorofi wako kwa mods
Si unaona hapo inaonekana banned[emoji1787][emoji1787]Naitunza hii kama kumbukumbu. Sitandikwi ban tena! [emoji16][emoji16][emoji16]