🤣🤣🤣walikuwa wanatishia tuHawakuruhusiwa kuwa na silaha bythen hilo ni pozi la kujifanya wanazo[emoji23]
Kiatu Cha mchizi nimekipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndio shida ya kupanda daladala za kwenda MKATA maana watu na mbuzi wote mnakua abiria na mbuzi huwa anapewa kipaumbele maana analipa nauli kubwa kuliko anayolipa mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji238][emoji238]View attachment 1971725
Mmh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ukitambua kua Maisha kupigana.... Basi Maisha ni kutisha kwa sifa si kutishanaView attachment 1972074
Mtoa roho huyu
Huyu jamaa kila wakati anapiga picha na mademu, nina wasiwasi kama anamasculine quality........maana wasingekuwa wanamchekea chekea ivyo[emoji16][emoji16]View attachment 1971861
🤣🤣𝓟𝓸𝓵𝓲𝓽𝓮 𝓷𝓸𝓽𝓲𝓬𝓮.View attachment 1971796
Mmmh mainjinia nipe mwongozo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapicha kanahamasisha[emoji38][emoji38][emoji39][emoji39][emoji39]Mimi Mwanaume asiye na gari au at least basi iPhone hapana kwa kweli.View attachment 1972122View attachment 1972123
Sent using Jamii Forums mobile app