Unataka kututoa kafala au[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo cha mtoto ukiweza kuangalia hii kwa dakika mbili na bila kupiga kelele wewe huumwiView attachment 1971673
🤣🤣🤣aache ngumi familia itaishije mkuu
🤣🤣🤣Hii ndio shida ya kupanda daladala za kwenda MKATA maana watu na mbuzi wote mnakua abiria na mbuzi huwa anapewa kipaumbele maana analipa nauli kubwa kuliko anayolipa mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji238][emoji238]
Ameona mengi sana huyu
Nchi ngumu hii🤣🤣
Mpaka utoe hapo mguu wa kuku inakuwa too late, bila shaka hii ni old fashion ya ulinzi
Me muoga kuniambia tu inatosha sitaki kuwa shuhuda[emoji2][emoji2][emoji2]maagano