Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,921
Hajamalizia mchoro katuacha na hamu zet u nampa 0%[emoji35][emoji34]Jamaa kajaribu kukuchora unampa maks ngap???View attachment 1970874
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbuzi kagoma kwenda[emoji15][emoji2]
Zambi nyingine hata shetani anazishangaa[emoji2]Fred katisha[emoji23][emoji23]View attachment 1970885
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1970903
Duuh huyu lunatic kabisa
Dada wa watu anastahili heshima kubwa mbele ya jamii.
HahahaHata ile ya kwanza kule juu inafaa kwa matumizi ya binadamu...any way hata ungeambiwa ktk hao chagua mmoja uliyependezwa nae still ungepata sononeko kuhusu hao waliobaki itakuwaje?
Wanaume tuna huruma sana aisee acha tu tuthaminiwe!!!