Nimetoka kumdai mtu deni jioni hii amesema kama hana ajiue, tan nimesema sirudii tena na Milele kukopesha mtu
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1971364
Hiyo hela Sahiv inaenda mwaka wa pili alikuja kwangu kwa machoziDaah nimecheka kama mazuri, poleee
Hiyo hela Sahiv inaenda mwaka wa pili alikuja kwangu kwa machozi