🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji16]View attachment 1963002
Huyo mrembo ujue katumia sana madawa mpaka amekuwa atifisho
Kibiashara!!! Wakati jamaa aliumizwaga nyonga sema now yupo frsh. Anyway watakiua hcho kishikajiHii imekaa kibiashara zaidi, japo mshikaji anaujua ukweli
Headmistress ndiyo wanakuwa wakorofi sana
Mwenye hilo gari huko ni mtu mkubwa sana
Nchi ngumu hiiJamani[emoji23]View attachment 1963116
Acha akale mkate 🤣🤣🤣
Hii ndiyo Tanzania 🇹🇿 niijuavyo mm[emoji16][emoji16]View attachment 1963164
Hii wengine tunaipraktisi tangu zamani, utafiti umechelewa sana kuwafikia wengineKuulizana "umeoga tayari" kila siku mwisho leo [emoji2959][emoji35]View attachment 1963206
🤣🤣🤣🤣aaah tuko vizuri
Hawa walinzi nini?
Landlord anakupa alert
Commando Baba JennyBalaa alilofanya humu shozniga,utoto ulikuwa unanambia hivi ukichukua huyu na Rambo kule Afghanistan si wiki tu wanasafisha kila kitu[emoji848]!
Baadae nikajipa moyo wanapelekwa wanajeshi wa awali kwanza halafu baadae watapelekwa hawa wana.... utoto raha sana[emoji2960][emoji23][emoji847]View attachment 1963217