Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Huyu doc amechomoa figo mkuu[emoji16][emoji16]Au labda daktar kilaza hajui hata hiyo figo kiuhalisia inafananaje
Huyu doc amechomoa figo mkuu[emoji16][emoji16]Au labda daktar kilaza hajui hata hiyo figo kiuhalisia inafananaje
Si mchezoHuyu doc amechomoa figo mkuu[emoji16][emoji16]
Afrika bara moto.
Ulicheza huo mchezo ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saaaaaaaana.
@Saint Anne si wewe huyu au nani alisema hii kauli humu jukwaani?
Si tulishakubaliana kuwa hela ni bonus? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126]Na hela ipo[emoji6][emoji6]
Ole wako ubishe[emoji57]
Mimi nimezoeleka kwa initials zangu 3Napenda kweli mtu aniite kwa jina langu la ukoo.
Ukiziunganisha zinasomeka kama nenoMimi nimezoeleka kwa initials zangu 3
Ukiziunganisha zinasomeka kama neno
Oohh kama mimi tuYeah ni kama neno
Nikuchoree??Nimeipenda hii
Ni wajibu wao[emoji41]Na wababa huko wanapo tafuta hiyo hela?
Bonus my futi!Si tulishakubaliana kuwa hela ni bonus? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji126][emoji126][emoji126]
Arachuga[emoji41]Naomba location ya hilo jengo
Kulala hapo hapo. tena kulala bila nguoWanakuwa wanalala hapo hapo au wanakuja. Na kuondoka!?