Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20210930-131255_Instagram.jpg
 
#HABARI: Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa zao la mpunga katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani humo, Mayombi Mwela akiwa chumbani akichepuka na mke wake.

Katika video inayosambaa mitandaoni inamwonyesha Issa Kasili akimlaumu rafiki yake huyo kwa kuzini na mkewe....

"Umeni *****... mke wangu Mayombi? Umeni *****... mke wangu Mayombi? Mwishowe umetimiza ahadi yako?

Akimdhibiti mkewe, Kasili amesema amezaa naye mtoto mmoja hivyo kuanzia sasa hataki ndoa naye tena ambapo mara baada ya kumfumania alimpiga faini ya shilingi milioni 5 rafiki yake huyo.
Kumbe alimuahid kuwa ata mniniliii shemela
 
Wengine sio wezi, mie simu yangu nishaisahau sehemu tofauti tofauti mara 4 na naipata kwa kuipiga.
Mi mwenyewe simu ilicholopoka kwenye daladala pale makumbusho na nilikuwa wa mwisho kushuka kumbe akaikota konda.
Nimefika huku juu jirani na CHAUMA ndio najikuta sina simu, nikakata tamaa kabisa.

Baada ya kufika kinondoni nikasema nijaribu tu kuipigia nikaona inaita kweli na ikapokelewa.
Baada ya mazungumzo jamaa akasema yeye ni konda ameikota kwenye siti ya daladala so kama vipi niende segerea akanipe.

Nikamuuliza si utarudi makumbusho? akasema atarudi ila mpaka zamu ya kupakia ifike.
Yule jamaa nilirudi kumsubiria Makumbusho na bahati nilibaki na kitiketi chenye namba ya gari, kwa hiyo gari ilipofika tu nikamfata na akanipa.
 
Watu wema bado wapo aisee!
 
Back
Top Bottom