Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,862
- 147,310
Nashukuru kwakunikumbukaSijakususa dadaangu,ni majukumu tu.
But nakukumbuka sana mamaa!!
Endelea kuwa chini ya ulinzi wa Mungu!!
MUNGU akulinde pia,akupe hitaji la moyo[emoji120]
Nashukuru kwakunikumbukaSijakususa dadaangu,ni majukumu tu.
But nakukumbuka sana mamaa!!
Endelea kuwa chini ya ulinzi wa Mungu!!
Maisha yenyewe ni hayahaya.....[emoji41]Kumbe masikini tunazidiana kumbe kuna wezangu wanakula hadi kuku.
Hizi picha huwa zinaumiza sanaTumetoka mbali sana View attachment 1958010
Umetoa sabab nzur lkn haishawish kwa sabab km usongaj wa ugal ungelikua unasababisha mkono mmoja kuwa kidal mwingine uwe km wa wardat nadhan mama zetu wangetisha sabab walianza kutwanga unga kwa mchi na kinu na kusonga ugal tangu hatujazaliwa mpaka leo hii tunazeeka na bado wamebalans mikonoMkono wangu wa kulia umekata balaa, ila nahisi sababu ya kusonga sana ugali[emoji16]
Tubagen kikomboleo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1957650
Hiyo ni engo thita
[emoji41]Umetoa sabab nzur lkn haishawish kwa sabab km usongaj wa ugal ungelikua unasababisha mkono mmoja kuwa kidal mwingine uwe km wa wardat nadhan mama zetu wangetisha sabab walianza kutwanga unga kwa mchi na kinu na kusonga ugal tangu hatujazaliwa mpaka leo hii tunazeeka na bado wamebalans mikono
[emoji16][emoji16][emoji16]wew inaonekana mbishi mbishi tu. Kuna mama lishe mmoja huku kwetu mkono wake wa kulia umekata balaa akikupa kelbu lazima ulie!Umetoa sabab nzur lkn haishawish kwa sabab km usongaj wa ugal ungelikua unasababisha mkono mmoja kuwa kidal mwingine uwe km wa wardat nadhan mama zetu wangetisha sabab walianza kutwanga unga kwa mchi na kinu na kusonga ugal tangu hatujazaliwa mpaka leo hii tunazeeka na bado wamebalans mikono
Hata ww ni mbishi mbishi tu na ndio maana ugali umekutenda[emoji16][emoji16][emoji16]wew inaonekana mbishi mbishi tu. Kuna mama lishe mmoja huku kwetu mkono wake wa kulia umekata balaa akikupa kelbu lazima ulie!
[emoji38][emoji38][emoji16]Hata ww ni mbishi mbishi tu na ndio maana ugali umekutenda![]()
Kuna nini hapa [emoji3][emoji3][emoji3]umeniacha mbaliWas R,,,,,,,,,View attachment 1957947
Na hela ipo[emoji6][emoji6]To love and to be loved[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1952026
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]