Na ngumi zimo lazima ajute kuuliza hilo swali[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1958597
Hapo broke surgeon kesha chomoa figo ya mgonjwa kaeka pembeni aje auze halafu anawauliza kama mgonjwa wenu mlileta na figo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na ngumi zimo lazima ajute kuuliza hilo swali
Mimi hata wacheke mpaka wafe...mshipa wa aibu ulishakatika. Ikibidi nitawaunga mkono kucheka.
Wanakuwa wanalala hapo hapo au wanakuja. Na kuondoka!?Fact[emoji849]View attachment 1957660
Au labda daktar kilaza hajui hata hiyo figo kiuhalisia inafananajeHapo broke surgeon kesha chomoa figo ya mgonjwa kaeka pembeni aje auze halafu anawauliza kama mgonjwa wenu mlileta na figo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Mimi hata wacheke mpaka wafe...mshipa wa aibu ulishakatika. Ikibidi nitawaunga mkono kucheka.