Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Umenipatia kabisa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Nilijua tu mwenye kutoa mahari ya parachichi lazima aje [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanyaki watani zangu na mabinti wa huko wamefungasha hatari [emoji39][emoji39][emoji39]