Woti izi ze kepito siti ofu Burkinafaso ? Spell it🤣🤣
Hata pastor anaogopa kufunga sala maana nayeye kachepuka
Noma sanaHata pastor anaogopa kufunga sala maana nayeye kachepuka
Kwani mtu asiyeona, huwa hasikii chochote wala kujua yanaoendelea duniani?Hii ina uwalakini, huyo mwana wao alijuaje hiyo ni miti na mawingu na kwamba yanarudi nyuma kama tu ndio alipata macho.