Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Usinichokoze mkuu. Parachichi juicy kama hili ukimpa binti wa Kinyaki utapewa mpaka uboho (bone marrow) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji527][emoji527][emoji97]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahy tumekubaliana hatukosi cha kusingizia [emoji16][emoji16]
Pia jamaa wa chini akiamua awaangushe bc huyo nigga ndo ataumia zaidi mana yuko mbali