Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210925-WA0179.jpg
 
Leo ni raha sana ndugu yangu. Kuwafunga Simba hawa wenye makelele yaani safiii [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji16][emoji16][emoji16]

Nilikua napata kero sana kila Simba wakishinda, kuanzia mtaani hadi ofisini hakukaliki....
Jamaa zangu huko Bongo mashabiki wa Simba wanaonijua mimi wa Jangwani, kwenye Whatsapp najaribu kuwapa salamu wote kimyaaa....
 
Back
Top Bottom