Km tungewadunda wangelimfukuza kocha waoHongera watani Utopolo kwa ushindi wenu wa janaView attachment 1953203
Yanga ipo na inaua
Kweli kabisa na iwe hivyoNimepitia biblia yote hakuna sehemu iliyozungumzia mpira kwa namna yoyoye ile nadhan ni sahih kutouzungumzia kwa wiki hii
After all mpira ni haramu. Simba banaYeah hatuwezi kujadili yaliyokwisha pita.. After all tuna vitu vya maana zaidi vya kujadili


