Hebu niache kidogo kichwa changu hakipo sawa kabisaOyaaaaaah.......unateseka ukiwa wapi,,,,,,nasubiri ya kupoza maumivu
Nimepitia biblia yote hakuna sehemu iliyozungumzia mpira kwa namna yoyoye ile nadhan ni sahih kutouzungumzia kwa wiki hiiKwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu... Leo hatuwezi kuongelea habari za mpira
Mnamaanisha hapa ndio hampigi kelele wala fujo ???Leo ni raha sana ndugu yangu. Kuwafunga Simba hawa wenye makelele yaani safiii![]()
Kwa sabab na nyiny mnatupa kero kuanzia mitandaon hadi mtaanNilikua napata kero sana kila Simba wakishinda, kuanzia mtaani hadi ofisini hakukaliki....
Jamaa zangu huko Bongo mashabiki wa Simba wanaonijua mimi wa Jangwani, kwenye Whatsapp najaribu kuwapa salamu wote kimyaaa....