Jamaa naona ameshaelewa somo la kuishinna hawa warembo pisi kali. Anytime ajue kiwa mbususu mpya itaingia akizingua
Jamaa naona ameshaelewa somo la kuishinna hawa warembo pisi kali. Anytime ajue kiwa mbususu mpya itaingia akizingua
Hata wewe nakufahamu, lakini ukiona nakuomba picha ujue kuna jambo.Duuh kwani kwa wiki wewe unafahamiana na wanawake wangapi mkuu? Ina maana wote hao unataka uanzishe nao mahusiano ya kimapenzi?
Yeah kuna watu huwa wanataka picha full hata kama hawana nia hiyo! So ni vyema mtu ukitumiwa sura utosheke mengine mtafahamiana mkionana!Hata wewe nakufahamu, lakini ukiona nakuomba picha ujue kuna jambo.
Sijui, labda labda watu wanakuomba omba picha ovyo.
Maana si vema kuwaongelea watu wengine.
Basi tuishie hapo
Umeona eeeeh

GoodBasi nitafanya hivyo![]()

Ni kweli, niliona mjadala ulikuwa unachukua sura mpyaBasi tuishie hapo![]()
Yaaani













I can't believe this