Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa nawe[emoji849],yaani saa nane Usiku anatokaje kwao??
Kuna wakati unakuwa hujaibiwa, umeangusha au umesahau mahali.[emoji58][emoji58]View attachment 1952041
Kuna wakati unakuwa hujaibiwa, umeangusha au umesahau mahali.
Baadhi ya waokotaji ni waaminifu na waadilifu.
Tumesharudisha simu nyingi kwa mtindo huo wa kupigiwa.
Ukippteza simu usikate tamaa, piga tu.
Watu hawafanani
Yakiwa mabaya sipati[emoji849]Kweli kabisa, matokeo yakiwa supaa utapata mirinda nyeusi bariiid[emoji16]
Hv kwa nn watu wengi hawapendi kutumia/kufahamika kwa jina lake la ukoo mfano mtu anaitwa Alphonce Mshana Jr lakn anapenda umwite Alphonce na sio mshana. Hv n kwa nn?[emoji38][emoji38]View attachment 1952045
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nshawahi uliza nkaambiwa hako kanahifadh zile dawa ambazo huwa wanapiga kwny nyanya . Its like a poison tank.
Duuh kwani kwa wiki wewe unafahamiana na wanawake wangapi mkuu? Ina maana wote hao unataka uanzishe nao mahusiano ya kimapenzi?Mahusiano yanaanzia mbali,
Picha haziombwi bila chanzo.
Mkianza kuombana picha tayari kuna hatua furani mnazipitia.
Si kweli kwamba mtu ametoka atokako aje akuombe picha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]MC kama MC View attachment 1952049
Sasa yakiwa mabaya tutakuwa tunajipongeza na nini[emoji16][emoji16]Yakiwa mabaya sipati[emoji849]