Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hahaha unakuta jina la ajabu kidogo; si unajua tena majina ya wazee wetu. Kuna msichana surname yake ilikuwa ni Kisebengo; tulishangaa tu siku tunapangwa kwenye mtihani ndiyo anaitwa binti Kisebengo; tulishamzoea kwa jina lingine la kawaida, alikuwa analificha hilo
Hv kwa nn watu wengi hawapendi kutumia/kufahamika kwa jina lake la ukoo mfano mtu anaitwa Alphonce Mshana Jr lakn anapenda umwite Alphonce na sio mshana. Hv n kwa nn?
 
Sitaki,nataka
FB_IMG_16317769150446872.jpg
 
Back
Top Bottom