safi kabisa naona watu tumeamua ambizana ukweli wamambo kwa mbususu na mgegedo wa wako peke yako haupo
Inawezekana msukuma alikua sahihi.[emoji1787]View attachment 1947689
Inawezekana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]Inawezekana msukuma alikua sahihi.
Huyu mwamba anataka abebwe kimtindo.Shart LA kibabe
Kwakweli ukifuatilia mfumo mzima wa mvua (rain formation).Inawezekana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]View attachment 1947723
Maelezo kama yapi[emoji3]Huwa nazingatia sana maelezo yako
Maamuzi magumu[emoji34]Hapo kwenye kupika ni disqualification namba moja. Asipojua kupika,ataliwa then apite hivi.
Unavyotukaba dah! Nitahakikisha nakuzushia zali mpaka "unavunjwa miguu". We subiri tu! [emoji51][emoji51][emoji51]Inawezekana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]View attachment 1947723
sisi tutaanza kuwakamata huku mitaani mnakoishi kivamizi🤣🤣🤣 na kupora kazi zetu za ushambaboi na ubeki 3Sisi Huku malawi hatupendagi ujinga[emoji16]
Nyie endeleeni kuwalea.