Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Baada kukongoroka unakumbuka ndoa
FB_IMG_1631849692227.jpg
 
Dawa hizi hapa tena ziko on sale. Chagua moja nikutumie. Hiyo Allegra mimi ndiyo hutumia. Running nose (mafua), watery eyes, sore throat, coughing inazima mara moja. Na unakunywa kakidonge kamoja tu for 24 hrs. Nitatupiamo na Allegra D kama Allegra ya kawaida itaelemewa.

Ukienda hospitali utapata pia dawa kwa sababu hizi pia zinauzwa kwenye maduka ya dawa.
View attachment 1940974
Znapatikana wap mkuu wenye pumu za ngoz tukanunue
 
Yangu haijaorodheshwa.
-Mtunga majina, nicknames zote za kuudhi za walimu na wanafunzi nilizitunga. Hata akihamia mwalimu mpya au mwanafunzi mpya lazima wanaa wanifuate kuniuliza 'jina' litakuwa nani
Wewe ni mtata,

Mie muwoga hatari,kusoma kwangu hadi kumaliza sijawahi kufanya tukio lolote wala kupigana sijawahi hadi nazeeka hivi.
 
Back
Top Bottom