Hiyo kisima nacho baada ya ngombe wote kunywa maji,hali yake itakua tete sana. Acha waendelee kushindana na nature.
Huwa nazingatia sana maelezo yakoUliniona wapi[emoji116]View attachment 1946546
Huyu alivunjika miguu nini!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1947046
Usisahau,pia ni watamu,na kule sauzi kuna nata kama babogam ya mmaasai saa anaitafuna. Najua wahenga wameniewa!![emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye kupika ni disqualification namba moja. Asipojua kupika,ataliwa then apite hivi.Na akiwa hajui kupika mpeleke chuo[emoji41]
Naafiki kwa asilimia zote, last but not least bro is 'mchicha'.[emoji38][emoji38][emoji6][emoji6]View attachment 1946091
Asiyetoa MBUSUSU,[emoji817][emoji3581]
Shart LA kibabeWali wa 300/=View attachment 1947185
Inabid tugogo labda kuna jibu
Hawa wana mapepo!!
Hawa wana mapepo!!