Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Ooh yes
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna zingine ngumu kweli kweli kufunguka. Inafikia wakati inabidi utumie nguvu na hapo inabidi mwenyewe tu aingilie kati "ngoja nikutolee usije ukanichania"....
Hii nyumba haianguki leo wala kesho hii. Mahusiano haya yako ngangari! [emoji16][emoji53][emoji53]View attachment 1946076
Kuna zingine ngumu kweli kweli kufunguka. Inafikia wakati inabidi utumie nguvu na hapo inabidi mwenyewe tu aingilie kati "ngoja nikutolee usije ukanichania"....
Kwema mtumishi? [emoji870][emoji870][emoji870]
Inaweza kuchanwa na mpya asipate. Huku hivyo hivyo tu ila Mungu yupo[emoji1545]Ikikuzingua sana, ichane tu; utaenda kumnunulia mpya baada ya zoezi
Kwema kabisa Mtumishi; sijui kwako huko
Hii nyumba haianguki leo wala kesho hii. Mahusiano haya yako ngangari! [emoji16]