Mimi mwanamke mweupe kwanza naamini ni msafi. Mungu akimjaalia na ka uwezo awe ananukia vimarashi vya hapa na pale,baaasi,nakula kama mpare anavyomtakuna kuku wa kisasa!![emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona yako sijakosea hata siku moja? [emoji706][emoji706]
Wahuni hawana dogo watampost wakishamega[emoji16][emoji16]Keshaanza kuingia cha kike, unadhani ataachwa!?
Huko kazini presha juu lazima[emoji23][emoji23][emoji23]
Na akiwa hajui kupika mpeleke chuo[emoji41]Mimi mwanamke mweupe kwanza naamini ni msafi. Mungu akimjaalia na ka uwezo awe ananukia vimarashi vya hapa na pale,baaasi,nakula kama mpare anavyomtakuna kuku wa kisasa!![emoji23][emoji23]
Wakina nani??Wekeni vitu vipya jamani mengi mnayarudia yale yale ya post za nyuma.. Inachosha