Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,218
Pande hizi kwema Ankalii,Salama ankali, habari za pande hizo.
Vipi bari hapo
Pande hizi kwema Ankalii,Salama ankali, habari za pande hizo.
Vipi bari hapo
[emoji1787]hii baiskeli tunayo ni nzima kabisa,tumefadhi ukumbusho[emoji23]
Ni vema kuhifadhi makumbusho maana miaka iliyopita mlikuawa wa kishua.[emoji1787]hii baiskeli tunayo ni nzima kabisa,tumefadhi ukumbusho[emoji23]
Aaaah waapi[emoji16],ankali hilo baiskeli ni la urithi[emoji23]Ni vema kuhifadhi makumbusho maana miaka iliyopita mlikuawa wa kishua.
Za mafungu ukiwa na iphone 2 unafungua duka la kuuza Tecno[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Yaani napata TECNO za kumwaga...
View attachment 1945553
Bado hawajarudi???