Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16319841223460078.jpg
 
Siandiki chochote,vile sipendi kumkera mtu.
Nikwambie kitu mjukuu? Mitandaoni humu (na kwingineko) wewe fanya kinachokupa furaha as long as huvunji sheria na mengine yote yaache. Leo utaambiwa meme ukiziwekea maelezo zinaboa. Kesho utaambiwa maelezo kidogo ndo vichocheo kunogesha nogesha. Huwezi kumridhisha kila mtu na wengine utaishia kuwakera tu hata ufanyeje.

Moral of the story: Do what you like ali mradi huvunji sheria. Tegemea kutopendwa na baadhi ya watu...na hilo lisikuumize kichwa kabisa kwa sababu ni kawaida tu. Umenisikia?
 
Back
Top Bottom