Ma first lady wa Marekani wameshawahi kulalamika juu ya mzigo wa kuwa first lady kuwa ni full stress na ni maisha yasiyo na faragha na ya kuchaguliwa mpaka nguo ya kuvaa. Sasa hana huo mzigo na yuko huru. Lakini Wabongo maneno najua yatakuwa mengi. Kwa umri wake hata unene huu siyo mzuri. Pengine yaweza kuwa ni frustrations za ujane pia ila kiafya siyo vizuri. Inabidi waanze kumpigisha mazoezi vinginevyo magonjwa ya unene hayatamwacha salama!