Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ajabu ni kwamba haisaidiagi cho chote. Wanapinduana. Anayekuja anaiba weee yeye na marafiki zake lakini hali ya mwananchi wa kawaida inabakia pale pale; na hata kufubaa zaidi. Matatizo ya nchi za Kiafrika (na mtu mweusi po pote duniani) ni makubwa zaidi; na hizi heka heka za kisiasa ni dalili hafifu tu za tatizo lenyewe - ubinafsi wa kinyama, ulafi uliopindukia kimo, kutojiamini, kujichukia, kutojua nafasi yake katika ulimwengu huu na mengine mengi.Bado sisi, bado sisi,bado sisi. Wenzetu West Africa hawapendagi ubwege
Test results sheet inasoma doro ana bonge la bwangaNi katika harakati za kutest mitambo baada ya chanjo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1925368View attachment 1925369
Pengine kunapambazuko linakujaHapa wanafagilishwa barabara na Ali Hapi,shame.
Inasaidia kiasi at least wanajua kuwa kuna watu wenye guts as opposed na huku kwetu ndiyo maana dharau zimezidi,NEC wanatumia B 460 kuandaa uchaguzi ambao wao wenyewe wanashiririki kuvuruga na na kutujazia Bunge la wacheza baikokoAjabu ni kwamba haisaidiagi cho chote. Wanapinduana. Anayekuja anaiba weee yeye na marafiki zake lakini hali ya mwananchi wa kawaida inabakia pale pale; na hata kufubaa zaidi. Matatizo ya nchi za Kiafrika (na mtu mweusi po pote duniani) ni makubwa zaidi; na hizi heka heka za kisiasa ni dalili hafifu tu za tatizo lenyewe - ubinafsi wa kinyama, ulafi uliopindukia kimo, kutojiamini, kujichukia, kutojua nafasi yake katika ulimwengu huu na mengine mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleni sanaHivi tulikosa nini juzi? Na mimi nilipitiwa na ban. Hatuwezi kuwaroga hawa wagawa ban? Niko tayari kuja kilingeni Msata tufanye yetu kama uko tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Kuna ule mzimu wa kula Kata kucha.
Ni katika harakati za kutest mitambo baada ya chanjo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1925368View attachment 1925369
Tena huyu ndio anapigika vizuri tu![emoji51][emoji51]View attachment 1925416
Kimbembe umjaze unashangaa unahama mtaa mwnywTena huyu ndio anapigika vizuri tu!
Chief hao ndio wazuri, hata ukimjaza unatakiwa usimame kama kidume! Usiyumbe, wao watakuwa kama bima kwako, ila ukiyumba tu imekula kwako!!Kimbembe umjaze unashangaa unahama mtaa mwnyw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaliyopita si ndwele kaka.. Tusonnge mbele...
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Hapana Moderator wa juzi alikuwa mkali, maana alifyeka kila kitu kilichokuwa mbele pamoja na post zote mpaka Jukwaa likabaki na bumbuwazi yaani halikunoga tena[emoji16][emoji16][emoji16]. Jiangalie mkuu. Yule mods wa juzi akipita mitaa hii utakuja kushangaa unaliwa kichwa (in Depal's voice)