Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Demu ana marafiki wa kiume wanne halafu anajishebedua eti hakuna aliyewahi kumkula. Liar !!!
View attachment 1917412

Basi haujakutana na demu tom boy anajimix na wanaume balaa lakini haliwi, kwanza hatongozeki kabisaa na humwambii kitu kuhusu mijadala ya kidume, anaijua line up ya Simba/Yanga/Man U/Arsenal....magari....siasa ndio haachwi nyuma, kadhia yote ya Afghanistan atakusimulia, mkanganyiko wa mavita vita Syria atakueleza kila kitu......

Kijiweni anabishana na maboys kwenye kila topic, demu akipita mkali mkimtazama na yeye macho humo...
 
bb.png

Snoop Dogg (Right)
Son & dad - both look like dog!
 
Basi haujakutana na demu tom boy anajimix na wanaume balaa lakini haliwi, kwanza hatongozeki kabisaa na humwambii kitu kuhusu mijadala ya kidume, anaijua line up ya Simba/Yanga/Man U/Arsenal....magari....siasa ndio haachwi nyuma, kadhia yote ya Afghanistan atakusimulia, mkanganyiko wa mavita vita Syria atakueleza kila kitu......

Kijiweni anabishana na maboys kwenye kila topic, demu akipita mkali mkimtazama na yeye macho humo...
Hahahahahahahaha,
Tulikuwa nao kitambo mademu wa aina hiyo, lakini watu tuliwamega tu.
Nitakubali wapi urafiki kama huo
 
Sokota imeanza lini hiyo, maana Sokota ni maeneo yangu hayo tangu 2009 nakesha maeneo hayo!
Bro hiyo kitu tulianza kula pale mtaa wa Temeke, kwa Sokota kitambo sana.
Yaani kabla ile night club ya Sugar Ray's haijajengwa pale.
Kulikuwa na mzee mmoja alikuwa anauza hizo "Hashua" miaka hiyo tukiwa wanafunzi.
Yule mzee baadaye alifariki, mwanawe akaja kuendeleza, nadhani mpaka miaka ya hivi karibuni.
Kwahiyo mwaka 2009 ilikuwa inauzwa chini ya mtoto wa hiyo mzee
 
"Ukiona mtu mzima maama, analia mbele za watu ujue kuna jambo"------ TX Moshi WilliamView attachment 1918107

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom