Sokota imeanza lini hiyo, maana Sokota ni maeneo yangu hayo tangu 2009 nakesha maeneo hayo!Najua pale Tandika majaribio nilishawahi kuona hiyo, lakini waasisi wa hiyo kitu ni hapa kwa Sokota bro
I miss u,grandpa

Risasi hakuna. Anaonewa tu, labda kama angekuwepo kwenye tukio la Hamza