AstakafiruOyaaa niachie basi na mimi hiyo kitu mzee.View attachment 1918251View attachment 1918252
Sent using Jamii Forums mobile app



Kajipa raha mwenyeweHuyu wasipomwangalia anaweza kupiga bao hapo hapo mchana kweupe!
View attachment 1918303
Maàaaaaaaaweeeeeeeeee !!!!!Hii crate challenge itakuja kuua mtu...
View attachment 1918315View attachment 1918317View attachment 1918319
Babu yaani nakutafuta sana,ujumbe kwangu hautoki kuja kwako,naomba unitafute maanaWasukuma au Wakurya?
Tangu juzi nakutafuta halafu umeuchuna tu. Mjukuu hooovyoo!!!
,
Hapo maana yake wote wanachitiwa nanii. Huyo mwenye vitu akijiaminisha kua ameshika mtoto wa mtu, sara nae anawaza hivohivoSarah wa Makongo Juu naye bado ni binadamu na tena mwanaume anaweza kumcheat huyo mwenye sijui vitu gani akaja kutulizwa tuliii na Sara...