Mi naomba "uvunjwe miguu" upate steresi kama zote!
Wanyaki nao hooovyooo !!!


Kuna jamaa kwenye kipindi ya bamba live mtaani aliambiwa kitu gani uliwahi kufanya wazazi wako hawajui,akasema niliwahi kuiba mahindi ndani na kuuza .Sasa ukute umeiba kwenu halafu ndo umeenda huko na umetoswa
Mbona nyumba hazina rangi za Simba na yanga?Huu ndo ushabiki tunaoutaka!
View attachment 1913562
Huu ndo ushabiki tunaoutaka!Mbona nyumba hazina rangi za Simba na yanga?
Big YES and the feelings are real(according to the picture)
And save water.
Kwenye jiwe la msingi inatosha!Sasa legacy za vilabu zinakumbukwaje
Kwani mtaani kwao hamna?
