Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duh
Screenshot_20210824-160047.jpg
 
Kuna clip inatembea huko whatsapp ya muda kidogo manara alikuwa anahojiwa na times fm, anaulizwa kama akipewa mzigo wa kutosha atahamia yanga, anakataa anasema "over my dead body" hata apewe pesa zote benk kuu hawezi kwenda yanga, leo kiko wapi[emoji23][emoji23]
Hela haijawahi muacha salama mtu mwenye njaa zake[emoji24]
 
Back
Top Bottom