Aisee hapa tutasemaje
Mbeya unawajua au unawasikia?
Duuh hatari. Wapumzike kwa amani
Nakusalimia kwa jina la Yesu Kristo.Unasemajeeeeeeeee?[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Duh[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]![emoji16][emoji16]mabaharia wanadai kama tabia watatumia hata zao tu
Yaani hii kitu inakera jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kati ya Mpogolo, Msambaa, Mpare, Muha, Mkinga, Mmakonde, Msafa, Mndengereko au Mgoni.Ni huko Kaskazini hukoo kwenye milima milima huko [emoji2099][emoji2099]
View attachment 1902858
Mie,maza simu kalala nayo lakini atakuja akuamshe,simu yangu siioni nipigie kwanza[emoji16],hapo inabidi uamke tu[emoji23]
Au utamsikia,mda ushafika wa kuondoka sijakusaidia kazi,amka si inabidi ufue leo au hautafua maana nina nguo chafu,inabidi tu uamke[emoji6]View attachment 1902103