Nyama ya kuku jero wapi hiyo?Kuna wakati ukiwasoma watu kama hawa unaweza kuhisi Dar ni Paris of Africa.
Kumbe kuna mpaka nyama ya kuku ya jeroView attachment 1901755
Siyo vya punda hivyo mkuu....ndo nyama za kuku hizo.Nyama ya kuku jero wapi hiyo?
Au unamaanisha kwato za kuku, utumbo na vichwa vyake?
Kama ya akina mwakinyoBoxing ipi labda, ufafanuzi tafadhali.
Okay, kumbe boxing hiyo 2nd round huwa inachukua muda mrefu kuliko 1st round.Kama ya akina mwakinyo
Inapendeza kama kweli siyo muumini wa hayo mavitu,kuna mambo mengi ya kufanya bana.Nimeacha dada.....pia nilizingua tu,hata sijui yanakopatikana dadaangu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbo kama beseni

Sijawahi kuwa,na haitokaa ilatokea nikawa muumini. Niamini dadaangu!!!Inapendeza kama kweli siyo muumini wa hayo mavitu,kuna mambo mengi ya kufanya bana.
Huwa ni mbinde mkuuOkay, kumbe boxing hiyo 2nd round huwa inachukua muda mrefu kuliko 1st round.
Kwani kunatatizo babu yangu akijua??Hiyo ni dalili ya kutupana ki-style.
HongeraSijawahi kuwa,na haitokaa ilatokea nikawa muumini. Niamini dadaangu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niachie lipicha hapa,nimetupia jezi nzuri rangi tamu,rangi ya ndizi mbichi na mbivu
