Nauli senti ishirini ikaja kupanda mpaka senti hamsini kutoka ikaja mia.Wahenga njoo tukumbushane View attachment 1901101
Exactly, why hate people who don't do shit.
Kutemana na Addiction hiyo mmmh.Ni muda mzuri wa kureflect na hatimaye kutemana mazima na hiyo addiction. Ni addiction mbaya isiyo na faida hata moja!

Boxing ipi labda, ufafanuzi tafadhali.
Hiyo ni dalili ya kutupana ki-style.Babu yangu lazima ajue bana![]()