Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Hawa jamaa kuna sehemu nilipita walikuwa wanalima, hatari sana watu wa2 tu kilo 2 wanapiga ugali
Hawa jamaa kuna sehemu nilipita walikuwa wanalima, hatari sana watu wa2 tu kilo 2 wanapiga ugali
Usipokuwa makini na kuchunguza hivi vitabu, unaweza kuta unampoteza mwanao kwenye ramani ya edukesheni
Unaweza kudhani mwanao yupo shule anaelimika kumbe anajaza madesa ya uongo kichwani, ni vyema wazazi tukae na watoto siku moja moja kupima uelewa wao tusiwe tunatupa pesa bure bila kufuatilia [emoji28]Usipokuwa makini na kuchunguza hivi vitabu, unaweza kuta unampoteza mwanao kwenye ramani ya edukesheni
Unajisifu mtaani Mwanangu yupo intaneshno kumbe analishwa matango poriUnaweza kudhani mwanao yupo shule anaelimika kumbe anajaza madesa ya uongo kichwani, ni vyema wazazi tukae na watoto siku moja moja kupima uelewa wao tusiwe tunatupa pesa bure bila kufuatilia [emoji28]View attachment 1901182
Leo nikepata somo. Nikimpata mdada wa kazi bomba,anayejielewa,hatomaliza wiki kwa boss wake kuanzia leo!!
Kabisa mkuu, unakuta katoto kanapelekwa chekechea huko za gharama kanasoma mpaka kanamaliza lakini bado kuhesabu hakajui, chenyewe ni kunywa uji tu na pilau[emoji28][emoji28]Unajisifu mtaani Mwanangu yupo intaneshno kumbe analishwa matango pori
Leo nimepata somo. Nikimpata mdada wa kazi bomba,anayejielewa,hatomaliza wiki kwa boss wake kuanzia leo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo ukute ushalipa ada ya mwaka mzima...mbon mtapelelana kwa mjumbeUnaweza kudhani mwanao yupo shule anaelimika kumbe anajaza madesa ya uongo kichwani, ni vyema wazazi tukae na watoto siku moja moja kupima uelewa wao tusiwe tunatupa pesa bure bila kufuatilia [emoji28]View attachment 1901182
Babu yangu lazima ajue bana[emoji16]Babu ataweka kauzibe, hilo darsa asijulishwe kabisa.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Wajuu[emoji41]Unyayo wa katikati?
Roho mbaya tu[emoji2959]Hata hiyo boda ni wema tu,anaulizwa tu"njia si utaikumbuka?",anatoka,nafunga mlango.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaenda hapo, huoni jamaa ameweka mkono mfukoni, anazuia kichwa kinataka kumletea aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wanaenda......Leteni jibu.View attachment 1900879
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Roho mbaya tu[emoji2959]