Haka katoto kanaudhi, hivi kameolewa ?
Nitapambana nikuhamishe nikutoe kwenye ulokole uje kwenye Uadventista Usabato. Hutajuta Mtumishi [emoji16][emoji16]
Nakuja nimejiandaa kukusabatoisha tu. Asante mtumishi mwema uliyebarikiwa sana [emoji1545][emoji1545]Na ukiniona nimetulia tu lazima unitafute neno; njoo huku tuhubiriane
Pole mjukuu. Hayo maumivu unayopata ndiyo hayo huwa tunapata tukituma nauli halafu hamji [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Jamani nimeibiwa na voda,,,voda popote mlipo MUNGU anawaona,,,hela yangu bora ningetoa sadaka kuliko kuweka vocha na kuniibia[emoji120][emoji120][emoji120]
Yaani mie leo wakulia kisa vocha[emoji33],,,,inaniuma sana,ingekuwa yakupewa nisingeumia asee kwa jasho langu[emoji24]
Pole sana [emoji16][emoji16]Jamani nimeibiwa na voda,,,voda popote mlipo MUNGU anawaona,,,hela yangu bora ningetoa sadaka kuliko kuweka vocha na kuniibia[emoji120][emoji120][emoji120]
Yaani mie leo wakulia kisa vocha[emoji33],,,,inaniuma sana,ingekuwa yakupewa nisingeumia asee kwa jasho langu[emoji24]
Aiseeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi Mwenyewe nimeshangaa sana[emoji38]Amejitia kovu la kudumu bure tu [emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]Pole mjukuu. Hayo maumivu unayopata ndiyo hayo huwa tunapata tukituma nauli halafu hamji [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ahsante,,,,asee inauma balaa asikuambie mtu babu,Pole mjukuu. Hayo maumivu unayopata ndiyo hayo huwa tunapata tukituma nauli halafu hamji [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]