Vituko mitandaoni. Tupia chako

Chief SHIMBA YA BUYENZE unaniadhirisha chief, yaani unanivua nguo kweli mchana kweupe!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Nakwenda kusomea Halbadiri!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]

rukia16 unamuona SHIMBA YA BUYENZE alichotufanyia?
Tutumie PM tu!!
[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
Amenishinda tabia kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...namgawa kwa mkopo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajua nacheka hapa wallah,,,ulivyopambana na kiarabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Babu hashindwi[emoji16]
Huyu babu yako kila akizeeka iko siku atakuwa mchawi huyu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Baharia anapambana laivu. Safari nyingine watakwenda PM [emoji16]
Salamu na utangulizi tu mzee umehangaika kufatilia utadhani unaangalia kombe la dunia! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…