Location ya hii saloon ni wapi?
Mimi niliambiwa "njoo huku nikuoshe nywele",nimeingia dah!! Huchomoki nikaacha 5k bila mpango...siku hizi nanyolea mtaani kwa 1.5k sitak mbwembweNairobi ndio usipime, mara ya kwanza yalinikuta ya kihivyo, nikawa tayari kurudi ninyolewe kila siku sema niliogopa shemeji atashtukia mchezo, midemu huparamia mwanaume wanakufanya mavitu sijui mara scrub mara sijui nini...yaani mimi husema yes kwa chochote wanachouliza, ila nakua nimejiandaa na mihela.
Mkuria huyu dada