[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha...kwamba kidogo umeanza kuilewa lugha ya kichina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] veveMnatusingizia jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1875450
Ee yaan,uko poa?Hahahaha...kwamba kidogo umeanza kuilewa lugha ya kichina
Namshukuru MUNGU niko poa.Niko poa sana mkuu
Vipi wewe uko poa?
AminaNamshukuru MUNGU niko poa.
Bado[emoji23]Amina
Vizuri sana kama unamshukuru MUNGU uko poa
Bado upo kwenu?
Aiseee!!Hama/ondoka kwenu bhanaBado[emoji23]
Vipi wataka nije kwenu kuwasaidia kuchunga ng'ombe[emoji16]
[emoji23]bado sana sana[emoji1787]Aiseee!!Hama/ondoka kwenu bhana
Kwetu hatuna ng'ombe labda uje unisaidie kuchunga niniliu.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani[emoji16]
Na kuna raia wanaangaliaWatu wanatafuta views wapate kuishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtata Gatuso enzi zake