Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 1874753
Hiyo ni mafuta ya kujipaka na huu sio utani, ila kwa sisi tusiojua kingereza hapo wanamaanisha nini
Hii ni poda ya watoto na akina mama (talcum powder). Si ajabu hata sisi tuliitumia bila kujua. Hilo kampuni la Johnson and Johnson lilijua kwa miaka mingi kuwa poda hiyo inasababisha kansa ya kizazi (ovarian cancer) lakini likakaa kimya na kuendelea kupiga hela. Kuna kesi mamia zinaunguruma na wachambuzi wanasema zitagharimu mabilioni ya dola na kitengo husika cha kampuni hili kinaweza kufilisiwa. Ndiyo maana watu wana wasiwasi na chanjo yake ya Covid kwa sababu kampuni lenyewe lina bad reputation na haliaminiki!
 
Screenshot_20180703-133758.jpg
 
Daah hatari sana mzee wangu
 
Back
Top Bottom