DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,024
- 3,512
Mtata Gatuso enzi zake
Game hii niliwahi kuiona, na tukio hili lilitokea kwenye 2009 au 2010 huko walikuwa AC Milan na Tothenham. Hili tukio mwaka huu limemkosesha ajira Rino. Wakurugenzi walitaka wamuajiri mashabiki wakaweka umoja kwenye mtandao No Gattuso.imeshindikana.imebidi wakurugenzi wakubaliane na mashabiki tu.yeye alikuwa kocha wa Napoli sasa mkataba umeisha hana kazi akapata dili huko uingereza maahabiki wamemchomea hana ajira sasa.Wao kitendo cha kumkaba kocha wao msaidizi kiliwavunjia heshima.


