[emoji23][emoji23][emoji3]mimi mwenyew nimekuta status kila mtu amepostaaaaaah pumbaf wewe ndio nilikua nakuja mbio kuatach Hii picha nakuta ushaniwahi dadeq aaagh shwaini acha kiherehere Arif!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hata magar ya nyumba wanayoishi inabid kwenye mfuniko wa tenk pawekwe kufuli funguo zibaki sheli wasije piga mnyonyo
Nitakupikia ugali wa mtama mgumuuu [emoji39][emoji39][emoji39]Kuna siku lazima tu utanipikia liugali. Na ukininyima tu naangua likilio [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1871574