Na hata magar ya nyumba wanayoishi inabid kwenye mfuniko wa tenk pawekwe kufuli funguo zibaki sheli wasije piga mnyonyoIfike mahali wanawake wasiruhusiwe kununua petrol kwenye vidumu[emoji24]
goose bumps 😂😂😂😂
Nchi hii ina wagonjwa wa umeme kibao, jikanyage tu
Sijaelewa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nchi hii ina wagonjwa wa umeme kibao, jikanyage tu
Kuna siku lazima tu utanipikia liugali. Na ukininyima tu naangua likilio [emoji16][emoji16][emoji16]