Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Japheth kiboko......ugali matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Japheth bana !
View attachment 1871610
Hukuskia habari za Spanish flu!!?
Kitambo sana hawa wanyamwezi duuuu
Oooohoooo nini tena jamani hiyo mbona sindano tuuu
aaaaaah pumbaf wewe ndio nilikua nakuja mbio kuatach Hii picha nakuta ushaniwahi dadeq aaagh shwaini acha kiherehere Arif!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilipoanza kusoma nikaogopa.Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji.
Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi.
Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
Enzi hizo pipi Inaitwa LawalawaKaribu[emoji16]View attachment 1870905