Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mwamba anashinda hii kesi tena mapema tu [emoji16]
Mwamba anashinda hii kesi tena mapema tu [emoji16]
Aisee. Hii ishu ya mawigi nilikuwa siijui. Basi majuzi hapa bwana nikakokotwa mpaka dukani. Maweee! Kuna mawigi mpaka ya laki 8 mzee baba na yeye amekomalia moja la laki 3 na nusu. Shida sana haya mambo!

Akikataa kuja, choma nyama, piga sherehe kivyako! Hakuna kubembeleza! 🤣 🤣 🤣
View attachment 1870843
Hahahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] songa kwa haropesa
Nipo makini babu,usijali.Marahabaa mjukuu. Mimi sijambo sana. Asante kunikumbuka. Jiangalie huko maporini
Asante kwa kujiangalia!Nipo makini babu,usijali.
[emoji3]babu,hapo ni msibani au[emoji23]Mjukuu na Wanyaki wote njooni. Kuna msukuma kakosa ugali huku. Leteni hata maparachichi pengine yatasaidia [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1870893
Msibani wapi huoni wengine wanacheka tu. Msukuma kakosa ugali huyo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]babu,hapo ni msibani au[emoji23]
Karibu[emoji16]Asante kwa kujiangalia!
Mimi sijui ni mnyaki wa wapi jamani mweeh, mbona sina[emoji24][emoji24][emoji24]Unataka kusema Heaven Sent Ana........
Mjukuu na Wanyaki wote njooni. Kuna msukuma kakosa ugali huku. Leteni hata maparachichi pengine yatasaidia [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1870893