[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utajua hujuiView attachment 1864602
Leo mji mzima unamjadili manara, kila nikipita kijiwe wanaongelea manara tu [emoji16][emoji16]Kikao hiki cha chakula cha mchana ndicho kinacholeta sintofahamu Simba.View attachment 1864698
Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu ni baharia tu. Akishapata anachokitaka hutamsikia tena [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Wakati Manara anashabikia kuwa Morrison hana mkataba na Yanga,kumbe yeye mwenyewe hakuwa na mkataba na Simba.
Baharia itakuwa alisahau kufunga lemba [emoji16][emoji16]
.Sijui nianze na juice ama nundu[emoji39][emoji39]View attachment 1864985