Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

-5825787666174686231_120.jpg
 
ukilala unaioteaga hiyo babu?
We acha tu mjukuu wangu. Hiyo ilikuwa pesa nyingi sana mwaka 1962. Hawa mabaharia wa sasa hawa nikisikia wanalalamika eti wamepigwa hela ya nauli huwa naishia kucheka tu.

Ile hela yangu aliyeila sidhani kama alibakia salama kwa sababu nilihangaika mno kuipata
 
babu,inabidi umtafute,muwe wote kwenye fainali ya uzeeni.
 
Back
Top Bottom